Nenda kwa yaliyomo

Loveland, Ohio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya mji wa Loveland

Loveland ni mji katika jimbo la Ohio karibu na mji wa Cincinnati. Ni maili kumi na tano nje ya mpaka wa mji Cincinnati karibu ya toka hamsini na mbili ya barabara kuu 275.

Loveland ina wilaya tatu: Hamilton, Warren, na Clermont na unakaribia eneo la mji wa Hamilton, Miami, Symmes. Mjini ni zipande zote ya mto ya Miami udogo.

Idadi ya watu wanaoishi katika mji wa Loveland ni 13,307 kutoka sensa ya 2020 ya Marekani lakini namba hiyo imeongezeka kutoka mwaka huo hadi mwaka wa 2024.

Eneo la mji wa Loveland awali lilinunuliwa na Kanali Thomas Paxton, mzaliwa wa Kentucky ambaye aliuza shamba lake kununua eneo ambalo sasa ni Loveland mwaka wa 1795. Paxton alilipa $7,300 kwa ardhi katika eneo hiyo sasa ni mji wa Loveland. Paxton aliitwa makazi hayo baada yake mwenyewe, lakini ikabadilishwa jina na kuwa Loveland mwaka uliofuata. Jina hili linatoka kwa James Loveland, mwanamume aliyekuwa na duka na posta kwenye barabara ya reli mjini. Treni zilikuwa na bado ni sehemu kuu ya Loveland, katikati mwa mji wa Loveland bado kuna njia zake za treni zinazopita katikati mwa jiji. Loveland iliitwa kijiji mnamo Mei 1876 na ikawa jiji la kukodi mwaka wa 1961. Loveland hapo awali ilifikiriwa kama mji wa mwisho, mji wa nyumba tajiri za majira ya joto kando ya mto mdogo wa miami. Loveland iko kwenye kingo za Symms Purchase na eneo la kaskazini-magharibi. Loveland ilijengwa kwa misingi ya asili ya makabila ya Shawnee na Miami[2].

Njia ya baiskeli[3]

[hariri | hariri chanzo]
Njia ya baiskeli katika mji wa Loveland

Katika miaka ya 1980, njia ya reli ya Little Miami isiyo na kazi iligeuzwa kuwa njia ya baiskeli na ikawa sehemu ya Njia ndogo ya Miami Scenic katika 1984. Loveland sasa ni kituo kikuu kwenye njia hii, ambayo huenda kutoka mji wa Anderson kusini hadi mji wa Springfield kaskazini, njia ya baiskeli ni maili 78. Njia ya baiskeli inapitia katikati mwa mji wa Loveland na iliumba biashara kuouza vifaa vya kutumia baiskeli na mikahawa. Njia ya baiskeli inapita reli katika katikati ya mji (unaweza kuona picha ya njia na reli kulia).

Loveland Frogman[4]

[hariri | hariri chanzo]
Msanii utambaji ya Loveland Frogman

Loveland Frogman ni hadithi ya ndani na mahali pa kuzungumza kwa wapenzi wa monster duniani kote. Alikana kwa mara ya kwanza katika 1955, chura huyo anaelezewa kuwa na urefu wa futi nne na muuzaji ambaye alikuwa aliendesha kwenye barabara ya Branch Hill karibu na mto wakati Frogmen watatu, wakiwa wamesimama kwa miguu yao ya nyuma waliruka nje, sikushambulia, lakini kuzuia barabara. Hata hivyo, kabla muuzaji hajasema lolote, mmoja wa Frogmen chura alipeperusha fimbo ndogo ya mbao ambayo iliwasha na kutoweka. Chura huyo ndiye aliyeripotiwa kuonekana tena mnamo Machi 3, 1972, saa 1:00 asubuhi, na afisa wa polisi wa Loveland Ray Shockey ambaye alikuwa ameendesha barabara nyingine karibu na maji. Wiki mbili baada afisa mwingine alikutana na kiumbe anayefanana. Loveland Frogman bado anatafutwa na watu na anachukuliwa kuwa msibo si rasmi wa mji.

Ngome ya Loveland (“Chateau Laroche”)[5]

[hariri | hariri chanzo]

Ngome ya Loveland ni makumbusho ya kihistoria kwenye ukingo wa mto mdogo wa miami. Licha ya kuona kama ngome ya enzi za kati, jengo hilo lilijenga mwaka wa 1927 na Harry D. Andrews, kiongozi wa skauti mvulana, vetrani wa vita vya kwanza vya dunia, na shabiki wa usanifu majengo wa enzi za kati. Ngome hiyo iliitwa badaa ya hospitali ya kijeshi kusini mwa Ufaransa, wapi Andrews alikalisha wakati wa Vita. Andrews alijenga ngome kwa mkono kwa zaidi ya miaka 50 kwa kwanza kutumia mawe kutoka mto karibu, na kwumba  bloku ya kushikika kwa kutumia katoni za maziwa. Andrews alikufa katika 1981, kabla ya kukamilishwa kwa ngome. Alitoa ngome kwa kikosi chake cha skauti mvulana: The Knights of the Golden Trail ambao walikamilisha na kukarabati ngome zaidi. Watu wanasema kwamba ngome ina pepo. lakini, ngome ni makumbushola kihistoria na bustani ya mimea katika mji wa Loveland.

Kuendesha Mtumbwi

[hariri | hariri chanzo]

Kwa sababu Loveland iliumba kwenye mto Little Miami, kuna desturi ya kuendesha mtumbwi katika mji huo, unaweza kuona watatu sana kutoka katika jirani wilaya kukodisha mtumbwi na kupiga kasia chini ya mto karibu na njia ya baiskeli. huyu ni kuu vya Loveland na kwa nini watu wengi watasimama hapa kwa likizo, na loveland ilivyo karibu na bustani ya burudani: Kings Island[6] pia.

  1. "About Loveland | Loveland, OH". lovelandoh.gov. Iliwekwa mnamo 2024-03-06.
  2. Jessie Walton (2020-07-16). "The Forgotten History of Ohio's Indigenous Peoples". Midstory (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-03-06.
  3. "Little Miami Scenic Trail | Miami Valley Bike Trails". www.miamivalleytrails.org. Iliwekwa mnamo 2024-03-06.
  4. "Loveland frog", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-02-10, iliwekwa mnamo 2024-03-06
  5. "Chateau Laroche", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-06-26, iliwekwa mnamo 2024-03-06
  6. "Directions to Kings Island & Park Map| Kings Island". www.visitkingsisland.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-03-06.